KUMBUKA: KUTOA HABARI ZA UONGO NI HATIA YA KIWANGO CHA TATU, NA
ADHABU YAKE NI MIAKA MITANO GEREZANI NA FAINI YA HADI $10,000 Ufafanuzi wa O.R.C wa
2913.42(A)(4)
Ninaelewa kwamba kwa kuandika jina langu katika kisanduku kilicho hapa
chini, ninathibitisha kuwa taarifa nilizotoa ni sahihi.